Sakata la Rio: Uhusika wa Keino, wawavuruga wadau wa riadha - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Sakata la Rio: Uhusika wa Keino, wawavuruga wadau wa riadha

Kipchoge Keino pamoja na watu wengine sita akiwemo Waziri wa zamani wa michezo, Dr. Hassan Wario, wanatuhumiwa kuhusika katika sakata la Rio, lililohusisha matumizi mabaya ya Ksh55 milioni, zilizotengwa kwa ajili ya timu ya Kenya, kwenye michezo ya Olimpiki, iliyofanyika Jijini Rio de Janeiro, nchini Brazil, mwaka 2016.


Source: MwanaspotiRead More