Sakata la Waraka wa Maaskofu lamsimamisha kazi msajili wa taasisi za kidini na kijamii - Kwanza TV | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Sakata la Waraka wa Maaskofu lamsimamisha kazi msajili wa taasisi za kidini na kijamii

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt Mwigulu Nchemba ametolea ufafanuzi wa taarofa zilizokua zikisambaa juu ya wizara yake kuiandikia barua Kanisa la Kiinjili la Kilutheri(KKKT), kwa kulitaka kuufuta waraka wa Pasaka. Akizungumza leo jijini Dar es salaam katika mkutano na wanahabari, Dk Nchemba amesema taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii ni batili na


Source: Kwanza TVRead More