Sala ndio basi tena! - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Sala ndio basi tena!

Klabu mbalimbali pia ziliandika pole kwa msiba wa Sala. Klabu kama Barcelona, Tottenham, Independiente, na nyinginezo nazo ziliomboleza msiba wa staa huyo ambaye alikuwa anafungua ukurasa mpya wa maisha kwa kucheza Ligi Kuu England.


Source: MwanaspotiRead More