SALAH AAHIDI KUIBEBA MISRI KOMBE LA DUNIA KUANZIA MWANZO - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SALAH AAHIDI KUIBEBA MISRI KOMBE LA DUNIA KUANZIA MWANZO

MSHAMBULIAJI Mohamed Salah amesema kwamba atakuwa fiti na tayari kuichezea Misri tangu mwanzo katika Kombe la Dunia Ijumaa ijayo.Mkali huyo wa mabao wa Liverpool, ambaye alikuwa nje kwa maumivu ya bega aliyoyapata katika fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Real Madrid, ameyasema hayo leo wakati wa kuagwa na Rais wa Misri, Abdel Fattah el-Sisi.Kulikuwa na wasiwasi kwamba mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 anaweza kuikosa mechi ya kwanza ya Misri ya michuano hiyo ndani ya miaka 18, bada ya kuumia bega mjini Kiev.
Mohamed Salah akisalimiana na Rais wa Misri, Abdel Fattah el-Sisi wakati wa kuagwa leo kwa safari ya Misri kwenye Kombe la Dunia MECHI ZA MISRI KUNDI A KOMBE LA DUNIA Uruguay - Juni 16 - Saa 7.00 usikuUrusi - Juni 19 - Saa 1.00 usikuSaudi Arabia - Juni 25 - Saa 9.00 Alasiri
Akizungumza katika hafla ya kuagwa kwa kikosi cha Misri kwenda Urusi kwenye Kombe la Dunia, Salah alikuwa mwenye kujiamini kwamba atakuwa tayari kwa mechi ya ufungu... Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More