SALAH APIGA HAT TRICK LIVERPOOL YAIFUMUA BOURNEMOUTH 4-0 - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SALAH APIGA HAT TRICK LIVERPOOL YAIFUMUA BOURNEMOUTH 4-0

Mohamed Salah akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Liverpool hat-trick kwa mabao ya dakika za 25, 48 na 77 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya AFC Bournemouth kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Vitality. Bao lingine la Liverpool limefungwa na Steve Cook aliyejifunga dakika ya 68  ... Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More