SALAH APIGA LA PENALTI LIVERPOOL YAZIDI KUPAA ENGLAND - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SALAH APIGA LA PENALTI LIVERPOOL YAZIDI KUPAA ENGLAND

Nahodha Jordan Henderson akishangilia na mfungaji wa bao pekee la Liverpool, Mohamed Salah kwa penalti dakika ya 50 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Brighton & Hove Albion leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa The AMEX. Ushindi huo unaifanya Liverpool ifikishe pointi 57 baada ya kucheza mechi 22 ikiendelea kuongoza Ligi Kuu ya England kwa pointi saba zaidi ya mabingwa watetezi, Manchester City wanaofuatia katika nafasi ya pili ambao hata hivyo wana mchezo mmoja mkononi Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More