SALAH AREJEA ANGA ZA MABAO LIVERPOOL YAUA 3-0 ANFIELD - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SALAH AREJEA ANGA ZA MABAO LIVERPOOL YAUA 3-0 ANFIELD

Mshambuliaji Mohamed Salah akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la tatu dakika ya 45 na ushei katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Southampton leo Uwanja wa Anfield kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Wesley Hoedt aliyejifunga dakika ya 10 na Joel Matip dakika ya 21 huo ukiwa ushindi wa saba mfululizo kwa Wekundu hao tangu kuanza kwa msimu huu Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More