Salah atupia moja, aumia Liverpool hofu - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Salah atupia moja, aumia Liverpool hofu

Mshambuliaji Mohamed Salah alifunga bao kwa mpira wa kona uliokwenda moja kwa moja wavuni kabla ya kutolewa kwa kuumia Misri ikishinda mabao 4-1 dhidi ya eSwatini katika mchezo wa kusaka kufuzu kwa fainali za Mataifa ya Afrika 2019.


Source: MwanaspotiRead More