Salamba aanza kufurahia maisha ya soka ndani Kuwait - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Salamba aanza kufurahia maisha ya soka ndani Kuwait

Hapa tunamzungumzia Adam Paul Salamba aliyetimkia Al-Jahra SC inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza ya Kuwait yaani Kuwait Division One ambayo wiki iliyopita alikuwa na timu hiyo jijini Istanbul, Uturuki kwenye kambi wakijiandaa na msimu mpya wa ligi inayoanza Septemba 18.


Source: MwanaspotiRead More