SALAMU ZENU KUTOKA KWA SERGIO RAMOS KUELEKEA KOMBE LA DUNIA - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SALAMU ZENU KUTOKA KWA SERGIO RAMOS KUELEKEA KOMBE LA DUNIA

Beki wa kimataifa wa Hispania, Sergio Ramos ameposti picha hii katika ukurasa wake wa Instagram kuelekea Fainali za Kombe la Dunia nchini Urusi, akitoka kuisaidia klabu yake Real Madrid kutwaa taji la mfululizo la Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa ushindi wa 3-1 dhidi ya Liverpool mwezi uliopita, ingawa alimuumiza mshambuliaji tegemeo wa wapinzani wao, Mmisri Mohamed Salah na kujikuta anabeba lawama nyingi Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More