Salum Kihimbwa amwaga wino Mtibwa - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Salum Kihimbwa amwaga wino Mtibwa

Salum Kihimbwa baada ya kuitwa timu ya taifa ameongeza mkataba na klabu yake ya Mtibwa. Salum Kihimbwa aliyezaliwa desemba 20 mwaka 1997 ni Mchezaji mwenye kipaji kipekee amemwaga wino wa kuendelea kuitumikia klabu yake.


Baada ya kuongeza kandarasi hiyo Kihimbwa amesema ana furaha klabuni hapo na ana amini kuwa klabu yake bado ina uwezo wa kutetea taji la FA na bado ana uhakika wa kufanya vizuri msimu huu. Hana wasiwasi kabisa na uwezo wa timu yake. Anachokiamini kuwa Mtibwa ina uwezo wa kupambana katika michezo yote 19.Timu yetu ina wachezaji wengi sana na wenye uwzo mkubwa. Hii inasadifu kwamba lazima tupambane ili uweze kupata nafasi” Kihimbwa


Pia Kihimbwa alizungumzia mipango ya klabu yake msimu huu


“Sisi wachezaji tunapambana kuhakikisha kuwa tunatimiza malengo ya klabu. Nina imani kuwa kila mchezaji wa Mtibwa hatutawaangusha mashabiki wetu”Kihimbwa amesaini mkataba wa miaka miwili. Huu ulikuwa msimu wake wa pili ndani ya klabu hiyo ambayo ilimsajili na kumtambulisha ... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More