Salva Kiir na Riek Machar kutia saini mkataba wa amani Alhamisi ya kesho - Kwanza TV | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Salva Kiir na Riek Machar kutia saini mkataba wa amani Alhamisi ya kesho

Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Sudan imetangaza kuwa, pande hasimu nchini Sudan Kusini zimefikia makubaliano ya kugawana madaraka ambayo yatatiwa saini Alkhamisi ya kesho. Taarifa hiyo inaeleza kuwa, Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini, na hasimu wake, Riek Machar, kesho wanatarajiwa kuwekeana  saini makubaliano ya awali ya kugawana madaraka kabla ya mkataba wa mwisho tarehe


Source: Kwanza TVRead More