Samatta Afcon kwanza hiyo EPL isubiri - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Samatta Afcon kwanza hiyo EPL isubiri

BAADA ya Mbwana Samatta wa KRC Genk ya Ubelgiji kuwa kwenye rada za Brighton, Aston Villa, Leicester City, Watford na Burnley, hatma ya mshambuliaji huyo, itafahamika zitakapomalizika fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) 2019 nchini Misri.


Source: MwanaspotiRead More