SAMATTA AZUNGUMZIA MECHI YA HISANI DHIDI YA TEAM KIBA KESHO TAIFA - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SAMATTA AZUNGUMZIA MECHI YA HISANI DHIDI YA TEAM KIBA KESHO TAIFA

Mshambuliaji wa klabu ya Genk ya Ubeligiji,Mbwana Samatta akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mechi ya hisani kati ya mashabiki wake na wa Ali Kiba utakaochezwa kesho kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam
Kocha wa timu ya Manispaa ya Dodoma, Jamhuri Kihwelo 'Julio' akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mechi ya hisani kati ya mashabiki wa Samatta na wa Ali Kiba utakaochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam,katikati ni Mshambuliaji wa klabu ya Genk ya Ubeligiji,Mbwana Samatta pamoja na msanii wa vichekesho Lucas Muhavile 'Joti'.

Mbwana Samatta na Jamhuri Kihwelo wakati wakiwasili Uwanja wa Taifa kwa ajili ya mkutano... Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More