Samatta baada ya kuwafunga TeamKiba - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Samatta baada ya kuwafunga TeamKiba

June 9, 2018 umechezwa mchezo wa kirafiki wa hisani kati ya TeamSamatta na TeamKiba ambao ulimalizika kwa TeamSamatta kuibuka na ushindi wa magoli 4-2 dhidi ya TeamKiba.


Lengo kuu la mchezo huo ni kukusanya fedha kwa ajili ya kusaidia maendeleo ya elimu lakini pia kuburudika na kufurahi na mashabiki wao.


Baada ya mchezo huo nahodha wa timu ya taifa na mshambuliaji wa KRC Genk Mbwana Samatta amezungumzia mafanikio katika mchezo huo pamoja na matokeo ya uwanjani.Source: Shaffih DaudaRead More