SAMATTA NA WANYAMA WALIPOKUTANA JANA UZINDUZI WA NDONDO CUP - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SAMATTA NA WANYAMA WALIPOKUTANA JANA UZINDUZI WA NDONDO CUP

Nahodha wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Mbwana Samatta (kushoto) anayechezea klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji akiwa Nahodha wa Kenya, Victor Wanyama anayechezea Tottenham Hotspur ya England katika uzinduzi wa Mashindano ya Ndondo Cup Uwanja wa Kinesi, Shekilango, Dar es Salaam jana  
Awali ya hapo, Victor Wanyama (katikati) alikuwa visiwani Zanzibar kwa utalii... Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More