Samatta, Wanyama wapagawisha Ndondo Cup - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Samatta, Wanyama wapagawisha Ndondo Cup

Msimu wa Sports Xtra  Ndondo Cup umezinduliwa rasmi leo Ijumaa June 8, 2018 kwenye uwanja wa Kinesi na kushuhudia Mabibo Market ikishinda 3-2 dhidi ya Keko Furniture katika mchezo wa ufunguzi.


Mastaa waliojitokeza uwanja wa Kinesi walikuwa kivutio kwa mashabiki ukiachana na mechi kali ya ufunguzi wa Ndondo Cup 2018.


Kiungo Victor Wanyama wa Tottenham ya England na timu ya taifa ya Kenya, Mbwana Samatta, Aslay, Edo Kumwembe, Ngasa ni baadhi ya waliokuwepo uwanjani kuzindua msimu mpya wa Ndondo Cup.Source: Shaffih DaudaRead More