Samia Suluhu aongoza kikao cha Kamati Kuu Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar - Kwanza TV | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Samia Suluhu aongoza kikao cha Kamati Kuu Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM ambaye ni  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo ameongoza kikao Cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi  Kuu za CCM Zanzibar. Kikao hicho kilichobeba ajenda kuu mbili, ambazo ni Mapendekezo ya Kupiga Kura


Source: Kwanza TVRead More