Samsung Galaxy Fold haitakuwa na sehemu ya kuchomeka spika za masikioni - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Samsung Galaxy Fold haitakuwa na sehemu ya kuchomeka spika za masikioni

Baada ya uzinduzi wa simu yake ya mkunjo, Samsung Galaxy Fold imebainika kwamba simu hiyo haitakuwa na sehemu ya kuchomeka spika za masikioni kama ziliyvo simu zake za matoleo  mengine. Samsung hawakuweka wazi wala kusema chochote kuhusu Earphone/Headphone Jack, badala yake wamezungumzia mambo mazuri yaliyo katika simu hiyo ya Galaxy Fold. Earphone/Headphone jack ni ile [...]


The post Samsung Galaxy Fold haitakuwa na sehemu ya kuchomeka spika za masikioni appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More