Samsung Galaxy Note 10 kuja katika matoleo manne tofauti - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Samsung Galaxy Note 10 kuja katika matoleo manne tofauti

Samsung wanaonekana kupendezwa na mtindo wa kutoa simu janja kutoka familia moja kwa mkupuo lakini zikitoka matoleo tofauti tofauti kama vile walivyotoa Samsung Galaxy S10 nne (4) miezi kadhaa iliyopita, sasa kitu hicho kinatazamiwa kujirudia watakapotoa Samsung Galaxy Note 10. Wakati ulimwengu ukitaka kuondokana na fununu za kila mara kuhusu Samsung Galaxy Note 10 inaonekana [...]


The post Samsung Galaxy Note 10 kuja katika matoleo manne tofauti appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More