Samsung Galaxy S9/S9+ yapokea Android Pie - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Samsung Galaxy S9/S9+ yapokea Android Pie

Samsung ambao walitoa Samsung Galaxy S9 na S9 Plus mwezi Februari 2018 huku ikiwa na Android 8 lakini sasa hatimae sasa watu wanaomiliki simu hizo wameanza kupokea taarifa fupi ya kuweza kuhamia Android Pie. Kwa hakika ambao wanatumia Sammsung Galaxy S9/S9+ wamesubiri kwa miezi kadhaa tangu kutoka kwa toleo la kenda upande programu endeshi kwa [...]


The post Samsung Galaxy S9/S9+ yapokea Android Pie appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More