Samsung kuongeza ubora wa kamera - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Samsung kuongeza ubora wa kamera

Makampuni mbalimbali duniani ambayo yanajishuguhlisha na biashara ya simu janja katika moja ya vipengele ambavyo wanahakikisha vitawavutia watu mara moja ni kwenye ubora wa kamera. Samsung wameonyesha nia ya kufanya bidhaa zao zijazo kuwa na nguvu zzaidi upande wa kamera baada ya kuzindua vipuri viwili tofauti ambavyo vitafanya kamera za kwenye simu janja ziwe na [...]


The post Samsung kuongeza ubora wa kamera appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More