Samsung S8 Lite haipo mbali kuletwa kwenye soko - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Samsung S8 Lite haipo mbali kuletwa kwenye soko

Kwa mujibu wa taarifa za kuaminika imeelezwa kuwa Samsung wanataka kuleta simu janja mpya ikiwa ni muendelezo wa kutoa simu ambazo zinatoka kwenye familia moja, Samsung S8 Lite ipo njiani kutambulishwa. Ni mwaka jana tu, 2017 Samsung walileta simu janja za S8 na S8 plus sasa ni wakati wa bidhaa nyingine kuja ili kuongeza kasi [...]


The post Samsung S8 Lite haipo mbali kuletwa kwenye soko appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More