Samsung wafunga kiwanda nchini China - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Samsung wafunga kiwanda nchini China

Samsung wafunga kiwanda nchini China. Kampuni hiyo inayoshikilia namba moja katika utengenezaji na uuzaji wa simu janja duniani, imefunga kiwanda chao pekee nchini China kwa ajili ya utengenezaji wa simu. Katika taarifa walioiweka wazi jumatato hii kampuni hiyo imesema imefikia uamuzi wa kufunga kiwanda hicho ili kuendana na hali ya uhitaji. Kwa kifupi kwa muda [...]


The post Samsung wafunga kiwanda nchini China appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More