Samsung waja na teknolojia ya kamera ya simu ya MP 108 - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Samsung waja na teknolojia ya kamera ya simu ya MP 108

MP 108, yaani Megapixel 108… zote hizi ziwe kwenye simu janja yako mkononi. Kampuni nguli katika utengenezaji wa simu na vifaa vya simu ya Samsung imetambulisha rasmi kipuli cha kamera ya simu janja cha megapixel 108. Wiki hii, jumatatu, kampuni ya Samsung ilitambulisha rasmi kamera ya simu yenye uwezo wa kupiga picha za zaidi ya [...]


The post Samsung waja na teknolojia ya kamera ya simu ya MP 108 appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More