Samsung wamezindua Galaxy A80 - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Samsung wamezindua Galaxy A80

Moja kati ya simu ambazo zimekuwa kwenye vichwa vya habari kwa wiki kadhaa ni Samsung Glaxy A80 ambayo imekuwa ikizungumziwa sana hasa kutokana na jinsi kamerazake zilivyo. Sasa watu wameweza kupata kufahamu undani wa rununu ambayo imezinduliwa, Galaxy A80 hivyo kuifanya Samsung kuleta simu nyingine ambayo italeta ushindani na pengine kupata soko zuri. Hii inatokana [...]


The post Samsung wamezindua Galaxy A80 appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More