Samsung ya Ujerumani imetoa memori kadi ya 512GB - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Samsung ya Ujerumani imetoa memori kadi ya 512GB

Tunafahamu vyema umuhimu/kazi ya kuwa na memori ya ziada kwenye simu hasa kama diski uhifadhi kwenye rununu sio wa kuridhisha (kulingana na matumizi) sasa Samsung ya Ujerumani imeongeza moja kwenye mtiririko. Sio jambo la kushangaza kwa kampuni kubwa kuwa na matawi kwenye nchi mbalimbali na hii inaweza kusababishwa na sababu kadha wa kadha. Tumezoea kusikia [...]


The post Samsung ya Ujerumani imetoa memori kadi ya 512GB appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More