SANE AFUNGA MANCHESTER CITY YAITANDIKA FULHAM 3-0 - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SANE AFUNGA MANCHESTER CITY YAITANDIKA FULHAM 3-0

Leroy Sane (kulia) akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la kwanza dakika ya pili katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Fulham leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Etihad leo. Mabao mengine ya Man City yamefungwa na David Silva dakika ya 21 na Raheem Sterling dakika ya 47 Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More