Sanga aenguliwa, Kidau freshi TFF - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Sanga aenguliwa, Kidau freshi TFF

KAIMU Mwenyekiti wa Yanga, Clement Sanga ameenguliwa katika nafasi yake ya Uenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu Bara, huku Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) likimtangaza rasmi Wilfred Kidau kuwa Katibu Mkuu.


Source: MwanaspotiRead More