Sangoma wa Man United kiboko, Cavani naye kaumia - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Sangoma wa Man United kiboko, Cavani naye kaumia

KAMA Manchester United inatumia mganga kuelekea mechi yake ya kesho ya Ligi ya Mabingwa wa Ulaya dhidi ya PSG basi inabidi imlipe dau la kutosha. Anaendelea kufanya mambo. Na sasa PSG itamkosa staa mwingine katika pambano la kesho Jumanne, Edinson Cavani.


Source: MwanaspotiRead More