Sarafu ya Libra kutoka Facebook: MasterCard na Visa wajitoa - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Sarafu ya Libra kutoka Facebook: MasterCard na Visa wajitoa

Sarafu ya kidigitali ya Libra kutoka Facebook na washirika wake wanaojenga umoja na kampuni inayojitegemea wanayoiita Libra Association imeendelea kupita kwenye changamoto. Hivi karibuni Paypal, ambao walikuwa ni wadau wengine kwenye umoja huo walijitoa, na sasa imefahamika makampuni makubwa katika teknolojia za mihamala ya pesa yaani MasterCard na Visa pia wajitoa kwenye umoja huo pia. [...]


The post Sarafu ya Libra kutoka Facebook: MasterCard na Visa wajitoa appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More