Sarah wa Harmonize apost picha hii ikimuonyesha ana Ujauzito na kuandika maneno haya - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Sarah wa Harmonize apost picha hii ikimuonyesha ana Ujauzito na kuandika maneno haya

Mpenzi wa msanii kutoka lebo ya muzki ya WCB kutoka Tanzania Harmonize akijiita Konde Boy raia wa Italia Sarah ameweza kupost pcha ikimuonyesha ana ujauzito.Sarah ambye amekuwa kwenye mahusiano na Harmonize kwa kipindi kirefu sasa na ikiwa kwa sasa yuko nkwao nchini Italia kwa madai ya Harmonize baada ya kufanyia mahojiano na kituo kimoja cha habari baada ya kuulizwa inasemekana wameachana na Harmonize alijibu kuwa ” Sara yuko kwao Italia na hawajaachana”


Sara amepost picha hiyo na kuandika ” Make me Smile👑….Always .K&Q.”By Ally Juma.


The post Sarah wa Harmonize apost picha hii ikimuonyesha ana Ujauzito na kuandika maneno haya appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More