Sarah wa Harmonze Ategemea Kujifungua Hivi Karibuni. - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Sarah wa Harmonze Ategemea Kujifungua Hivi Karibuni.

Mwanadada Sarah ambae ni mpenzi wa mwanamuziki Harmonize anasemekana kuwa katika hali ya ujauzito na ndo maana mwanadada huyo kwa sasa amekuwa haonekani sana katika mitandao ya kijamii mara kwa mara.


Mwanadada huyo ambae anasemekana kuwa hali yake ya ujauzito umekuwa ikimfanya kuwa mbali na mitandao kwa sasa na hata kuamua kurudi kwanza nyumbani kwa ajli ya kujiangalia kutokana na hali yake.Iliwah kusemnekana kuwa mwanadada huyo na mpezni wake kuwa wameachana lakini Harmonize alikanusha taarifa hizo na kusema kuwa aliamua kwenda nyumbani  mara moja lakini atarudi.


sarah na harmonize wamekuwa katika mahusiano kwa muda mrefu na hata mfanikio ya mahusiano yao ni pamoja na  mtoto wanaemtarajia sasa hivi,


 


The post Sarah wa Harmonze Ategemea Kujifungua Hivi Karibuni. appeared first on Ghafla! Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More