Sarakasi wanazokumbanazo Mabibo FF kuifikia La Masia - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Sarakasi wanazokumbanazo Mabibo FF kuifikia La Masia

Omary Malungu ni moja ya zao la Mabibo FF. Kwa sasa Omar anayejulikana kama Van Magoli kwa sasa yupo Mtibwa Sugar akiitumikia timu ya vijana. Malungu ni mzaliwa wa Tanga alizaliwa mwaka 2000. Ni kijana mwenye kipaji cha kipekee.


Mabibo FF ilianzishwaje?


Mabibo FF lianzishwa mwezi wa 27 April 2018. Lengo la taasisi hii ni kulea vijana mbalimbali wa mtaani wasio na uwezo wa kuongoza maisha yao ya kisoka ili kufikia malengo na ndoto zao.Uongozi?


Nilibahatika kuongea na mmoja wa viongozi wa akademi hiyo akanipa muongozo na namna uongozi unavyofanya kazi.


Clemence Philip
Walter Sembuli
Ramadhan Fauka
Hamed Makambi
Salim Mahimbo
Moses Kihenga

Hao wote kwa pamoja ni viongozi na wamiliki wa akademi hiyo.Historia ya klabu hiyo?


Clemence Philipo akiwa na wenzake kijiweni walianza ubishani kuhusiana na ni mguu upi una umuhimu zaidi uwanjani (kati ya wale wanaotumia mguu wa kushoto na wale wa mguu wa kulia).


“Mimi na Walter tulikubaliana kutengeneza timu mbili moja iwe na wacheza na mguu wa ... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More