Sarri ajutia kupangua kikosi Chelsea - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Sarri ajutia kupangua kikosi Chelsea

Sarri ambaye wikiendi iliyopita alipata ushindi mbele ya mahasimu wao wa jiji la London, Fulham, aliidharau Wolves na kuwapumzisha nyota watano wa kikosi cha kwanza jambo lililoifanya Chelsea ifungwe mabao 2-1


Source: MwanaspotiRead More