Saudi Arabia yasitisha safari za ndege zake kwenda Toronto kufuatia mgogoro wake na Canada - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Saudi Arabia yasitisha safari za ndege zake kwenda Toronto kufuatia mgogoro wake na Canada

Shirika la ndege la Saudi Arabia liitwalo Saudia Airline limesema litasimamisha safari zake kwenda mji wa Toronto Canada kuanzia Jumatatu ya wiki ijayo.


Source: BBC SwahiliRead More