SAVE THE CHILDREN YAENDESHA MAFUNZO KWA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA SHINYANGA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SAVE THE CHILDREN YAENDESHA MAFUNZO KWA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA SHINYANGA

Mkuu wa wilaya ya Kahama, Anamringi Macha akifungua mafunzo kwa waandishi wa habari yaliyoandaliwa na shirika la Save The Children kwa ajili ya kukutana na kupanga mikakati ya kutokomeza ndoa na mimba za utotoni. Kushoto ni Meneja wa Shirika la Save The Children mkoa wa Shinyanga, Benety Malima - Picha zote na Kadama Malunde na Marco Maduhu- Malunde1 blog.Mkuu wa wilaya ya Kahama,Anamringi Macha akizungumza na waandishi wa habari wakati akifungua mafunzo kwa waandishi wa habari mkoa wa Shinyanga yaliyolenga kukutana na wanahabari na kuwaeleza hali halisi ya mimba za utotoni katika mkoa wa Shinyanga ili waweze kuwa chachu ya mabadiliko katika jamii.Meneja wa Shirika la Save The Children mkoa wa Shinyanga,Benety Malima akielezea lengo la shirika hilo kutoa mafunzo kwa waandishi yaliyolenga kukutana na wanahabari na kuwaeleza hali halisi ya mimba za utotoni katika mkoa wa Shinyanga ili waweze kuwa chachu ya mabadiliko katika jamii.Meneja wa Shirika la Save The Children mkoa wa Shinyanga,... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More