Seif Karihe awacha midomo wazi Mtibwa Sugar - Sports Kitaa | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Seif Karihe awacha midomo wazi Mtibwa Sugar

VPL: Mpira umekwisha, Lipuli FC inaondoka na ushindi wa mabao 2-1 nyumbani kwa Mtibwa Sugar.

Mshambuliaji wa lipuli fc ,Seif Karihe akiwa katika kiwango bora kabisa katika mchezo wa leo amewaacha midomo wazi mashabiki wa soka mkoani Morogoro baada ya kuitundika Mtibwa magoli mawili peke yake na kuisaidia Lipuli kuibuka kifua mbele na pointi tatu.


Source: Sports KitaaRead More