SEKTA YA UVUVI YAIMARIKA, BOTI YA DORIA YAHITAJIKA KUIMARISHA ULINZI SOKO LA FERI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SEKTA YA UVUVI YAIMARIKA, BOTI YA DORIA YAHITAJIKA KUIMARISHA ULINZI SOKO LA FERI

 . Afisa uvuvi Msaidizi katika soko la samaki Feri Ahmed Mbarouk akizungumza na blogu ya jamii kuhusiana na hali ya uvuvi na biashara ya samaki sokoni hapo. Samaki wakiwa tayari kwa mauzo ambapo samaki mmoja huuzwa kati ya shilingi 45,000 hadi 50,000.(Picha na Emmanuel Massaka wa Global ya jamii) Mnada wa samaki ukiendelea katika soko la samaki la Feri jijini Dar es Salaam.Mwandishi kutoka Blogu ya jamii akiangalia samaki aina ya kaa mara baada ya kuvuliwa na mmoja wa wavuvi. (Picha na Emmanuel Massaka wa Global ya jamii).
Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamii.
UVUVI na uuzaji wa samaki katika soko la Feri jijini Dar es salaam umezidi kuimarika katika mchakato mzima wa uvuvi wa samaki wenye viwango vinavyotakiwa na uuzwaji wake sokoni umekuwa na tija.
Akizungumza na blogu ya jamii Kaimu Afisa Uvuvi wa soko la Feri Ahmed Mbarouk ameeleza kuwa upatikanaji wa samaki kwa sasa ni mzuri hasa kwa samaki wakubwa na hata mauzo yamekuwa mazuri pia kutokana na ubora wa samaki wanaovuliwa kuwa na v... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More