Semeni Lakini Siachi Kumpenda Wema :-Diana Kimari - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Semeni Lakini Siachi Kumpenda Wema :-Diana Kimari

Mwanadada Diana Kimari amefunguka na kusema kuwa kamwe hatoacha kumpenda mwanadada Wema sepetu kwa sababu ya  maneno yao wanayosema katika mitandao ya kijamii kuwa urafiki huo hauwezi kudumu kwa sababu wema aliwahi kuwa na marafiki wengi na sasa hawapo tena.


Diana  anasema kuwa wema amekuwa kama dada kwake na kwamba   amekuwa na roho nzuri kwa kila mtu hivyo hawezi kuacha kumpenda mwanadada huyo.


najua kuna watu wengi hawapendi kuniona nikiwa karibu na wema, yule ni zaidi ya dada kwangu , sijawahi ona mtu mwenye roho ya kipekee kama yule kwaio wanaosema maneno mabaya nadhani kwangu yamegonga mwamba.


Wema amekuwa na marafki wengi na wote amekuwa akikosana nao huku kila mmoja akisema kuwa sababu kubwa inakuwa kwa wema, hivyo mashabiki wanaokaa na kumsema Diana wanaangalia kwa wale waliotoka kabla yake.


Mwanadada huyo kwa kuonyesha kuwa anampenda sana wema ameweza kuchora mpaka Totoo ya Wema.


 


The post Semeni Lakini Siachi Kumpenda Wema :-Diana Kimari appeared first on Ghafla!Tanzan... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More