SEMINA ENDELEVU YA WATALAAM WA SEKTA YA UJENZI YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SEMINA ENDELEVU YA WATALAAM WA SEKTA YA UJENZI YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM

Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Wabunifu na Wakadiriaji Majenzi (AQRB) Dk.Boniface Bulamile akizungumza na watalaam wa sekta ya ujenzi (hawapo pichani) wakati akifungua semina endelevu ya watalaam wa Sekta ya ujenzi nchini ya kuwajengea uwezo watalaam wa sekta hiyo na kujadili mikataba ambayo inawaongoza katika utekelezaji wa majukumu yao iliyofanyika jijini Dar es Salaam (kulia) QS Albert munuo. Kaimu Msajili wa Bodi hiyo. (PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON)Watalaam wa ujenzi wakifuatilia mada mbali mbali katika semina endelevu kwa ajili ya kujadili mikataba ambayo inawaongoza katika utekelezaji wa majukumu yao ilioandaliwa na Bodi ya Usajili wa Wabunifu na Wakadiriaji Majenzi (AQRB),Baadhi ya Watalaam wa ujenzi wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa semina endelevu kwa ajili ya kujadili mikataba ambayo inawaongoza katika utekelezaji wa majukumu yao ulioandaliwa na Bodi ya Usajili wa Wabunifu na Wakadiriaji Majenzi (AQRB)... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More