SEPSIS inavyomaliza 32% ya watoto kila mwaka - Kwanza TV | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SEPSIS inavyomaliza 32% ya watoto kila mwaka

Wakati dunia inaazimisha siku ya ugonjwa wa Sumu zinazopatikana katika damu ama kwa jina la kitaalamu SEPSIS, inaelezwa kwamba duniani kote takribani watu millioni 30, hugundulika kua na ugonjwa huo kila mwaka huku kati ya hao watu millioni 6 hupoteza maisha. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na


Source: Kwanza TVRead More