SEPTEMBA 11, OSAMA BIN LADEN ALIVYOONGOZA SHAMBULIO LA KIGAIDI MAREKANI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SEPTEMBA 11, OSAMA BIN LADEN ALIVYOONGOZA SHAMBULIO LA KIGAIDI MAREKANI

Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamiiLEO Septemba 11 dunia inakumbuka miaka 17 tangu kutokea kwa shambulio la kigaidi lililotekelezwa na kundi la kigaidi maarufu kama Al Queda dhidi ya Marekani kwa kulipua miji miwili na kusababisha mauaji na hasara kubwa.
Shambulio hilo ni moja kati ya mashambulio manne makubwa kuwahi kutokea, na shambulio hilo linafahamika zaidi kama Septemba 11 lilotokea asubuhi ya siku ya jumanne ya tarehe 11/9/2001 ambapo magaidi hao waliteka ndege 4 na kuzitumia kama silaha kwa kuzigongesha kwenye majengo makubwa ya kibiashara (World Trade Centre) katika majiji Newyork na Washngton DC.
Shambulio hilo lililofanyika asubuhi ilisababisha vifo zaidi ya watu 2996, majeruhi zaidi ya 6,000 na hasara ya uharibifu uliokadiriwa kufikia dola za kimarekani bilioni 10 na baadaye wengi wakagundulika na kuwa na matatizo katika mifumo ya upumuaji na saratani.
Ndege tatu zilifanikiwa kugonga majengo makubwa ya kibiashara na ndege moja ilitwaliwa na abiria na ikaangua katika mji wa Pennsy... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More