Serengeti Boys : Wala hatuwadai ubingwa, tunawadai maendeleo yenu - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Serengeti Boys : Wala hatuwadai ubingwa, tunawadai maendeleo yenu

NIGERIA ndio mabingwa wa kihistoria wa Kombe la Dunia U17. Walianza kushinda kombe hilo mwaka 1985, wakiifunga Ujerumani Magharibi kwa mabao 2-0. Wakarudia tena 1993 wakiifunga Ghana mabao 2-1.


Source: MwanaspotiRead More