Serengeti Boys yafutiwa mechi - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Serengeti Boys yafutiwa mechi

Katika mashindano hayo ya mualiko yaliyofanyika Uturuki chini ya usimamizi na uratibu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Ulaya (UEFA), Serengeti Boys iliibuka na ushindi wa mabao 3-2 huku ikipoteza mechi mbili ambazo ni dhidi ya Guinea ilipochapwa mabao 2-1 na dhidi ya Uturuki ambapo ilitandikwa 5-0.


Source: MwanaspotiRead More