Sergio Aguero atajwa kuwania Ballon d’Or - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Sergio Aguero atajwa kuwania Ballon d’Or

MSHAMBULIAJI wa timu ya Taifa ya Argentina na klabu ya Machester City, Sergio Aguero ameungana wachezaji mahiri duniani waliotajwa kuwania tuzo ya FIFA ya Ballon d’Or. Anaripoti Gerva Lyenda … (endelea). Aguero anaungana na Gareth Bale (Real Madrid), kipa wa Liverpool, Alisson, mshambuliaji wa Real Madrid Karim Benzema na Edinson Cavani (PSG). Waandaaji wa tuzo ...


Source: MwanahalisiRead More