Serikali:Fuvu la binadamu wa kale kuanza kuonekana julai 17 mwaka huu - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Serikali:Fuvu la binadamu wa kale kuanza kuonekana julai 17 mwaka huu

 Katibu mkuu wa wizara ya maliasili na utalii Profesa Mkenda akizungumza katika kilele cha maadhimisho ya utalii Karibufear.
Kamishna Mkuu wa Uhifadhi TANAPA Dkt.Allan Kijazi akizungumza wakati wa utoaji wa Tuzo ya Serengeti kuwa Hifadhi bora Barani Afrika na kilele cha maonyesho ya Kimataifa ya Utalii ya Karibufear kwenye viwanja vya TGT Kisongo mkoani Arusha .
Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Hifadhi za Taifa nchini(TANAPA) Jenerali Msaafu George Waitara  akizungumza wakati wa utoaji wa Tuzo ya Serengeti kuwa Hifadhi bora Barani Afrika na kilele cha maonyesho ya Kimataifa ya Utalii ya Karibufear kwenye viwanja vya TGT Kisongo mkoani Arusha .
Adam Malima mkuu wa mkoa wa Mara akizungumza wakati wa utoaji wa Tuzo ya Serengeti kuwa Hifadhi bora Barani Afrika na kilele cha maonyesho ya Kimataifa ya Utalii ya Karibufear kwenye viwanja vya TGT Kisongo mkoani Arusha
Kutoka kushoto ni Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt.Hamisi Kigwangala akifuatiwa na Mwenyekiti wa bodi ya Utalii nchini Kamis... Continue reading ->
Source: Issa MichuziRead More