SERIKALI, HPSS WAZINDUA KAMPENI YA KUHAMASISHA WANANCHI SHINYANGA KUJIUNGA NA CHF ILIYOBORESHWA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SERIKALI, HPSS WAZINDUA KAMPENI YA KUHAMASISHA WANANCHI SHINYANGA KUJIUNGA NA CHF ILIYOBORESHWA

Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainab Telack akizindua kampeni ya kuhamasisha wananchi wa mkoa huo kujiunga na mfuko wa bima ya afya ya jamii CHF iliyoboreshwa ili kuwasaidia kupata matibabu kwa gharama nafuu.Mkuu wa mkoa wa Shinyanga,Mhe. Zainab Telack, akielezea namna Serikali inavyo boresha huduma za kiafya ambapo mpaka sasa vimeshajengwa vituo vya afya vipya 11 pamoja na hospitali za wilaya mbili, pamoja na kuwepo na madawa ya kutosha, na kuwataka wananchi wachangamkie fursa hiyo ya kukata bima ya afya CHF iliyoboreshwa ili waweze kufaidi huduma za matibabu kwa gharama nafuu.Meneja mradi wa HPSS tuimarishe afya Mkoani Shinyanga Dkt Harun Kasale, akielezea kutokana kuwepo kwa idadi ndogo ya wananchi mkoani humo kujiunga na bima ya CHF iliyoboreshwa, kuwa kwa kushirikiana na serikali ya Uswizi ndipo wakaona ni vyema kuzindua kampeni hiyo yakuhamasisha wananchi kujiunga na bima hiyo ambayo itawasaidia kwenye matibabu.Waziri wa Kilimo.Mhe. Japhet Hasunga, akiwataka wananchi wa mkoa wa Shiny... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More