SERIKALI IMEPOKEA GAWIO LA SH. BILIONI 6.8 KUTOKA BENKI YA CRDB - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SERIKALI IMEPOKEA GAWIO LA SH. BILIONI 6.8 KUTOKA BENKI YA CRDB

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango (katikati) akiwa ameshikilia mfano wa hundi yenye thamani ya zaidi na Shilingi 6.7 bilioni ikiwa ni Gawio la Serikali kutoka Benki ya CRDB, Jumla ya Gawio ni TZS 9.9 bilioni kwa Serikali Kuu, Halmashauri, Taasisi na Mashirika ya umma ambayo ni Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (PSSF, NSSF, GEPF na ZSSF) - TZS 2.6 bilioni, TAMISEMI (Halmashauri za Mbinga, Lindi, Shinyanga) - TZS 133.7 milioni, Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa (NHIF) - TZS 243.5 milioni Chama cha Ushirika cha Wakulima wa Tumbaku Tabora - TZS 228 milioni. wengine pichani kutoka kushoto ni Balozi wa Denmark nchini, Einar Jensen, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela pamoja na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Khatibu Kazungu. hafla hiyo imefanyika leo juni 15, 2019 katika ukumbi wa Hazina, jijini Dodoma.Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango akiwakabidhi mfano wa hundi yenye tham... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More