SERIKALI IMEWATAKA WATANZANIA KUENZI UTAMADUNI KWANI NI SEHEMU YA UTALII - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

SERIKALI IMEWATAKA WATANZANIA KUENZI UTAMADUNI KWANI NI SEHEMU YA UTALII

Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bi. Susan Mlawi akiwata watanzania kuenzi vya kula vya asili,mila nzuri,desturi na lugha za asili kwa lengo la kutangaza utalii wa kiutamaduni wa taifa katika ufunguzi wa Tamasha la Urithi Festival leo jijini Arusha katika uwanja wa Shekhe Amri Abed.Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bi.Susan Mlawi akitizama namna maziwa yanahifadhiwa kwenye kibuyu na Bi Neema Mollel. Kutoka jamii ya Kimasai alipotembelea banda la wanawake kimasai wakati wa ufunguzi wa Tamasha la Urithi Festival uliyofanyika leo jijini Arusha katika uwanja wa Shekhe Amri Abed.Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bi.Susan Mlawi wapili kushoto akipata maelezo ya vyakula asili kwa Bi.Marium alipotembelea banda la kabila la Warangi leo katika uwanja wa Shekhe Amri Abed jijini Arusha katika ufunguzi wa Tamasha la Urithi Festival.Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bi.Susan Mlawi (kushoto) akicheza ngoma ... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More